Hivi, kati ya Katavi na Morogoro, ni sehemu gani nzuri ya kuishi na kutoboa maisha?

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
 
Quality zinataka kufanana.
japo inategemea wewe unataka kutobolea kwenye kipengele kipi.
 
Me naona kila mtu na akili yake atakavyo fikiri na kuweka nia popote kambi
 
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
Nimekuja kutafyuta fursa hapa Mtwara najuta.

Akina
Ndege John wameniuza oooh Masasi Masasi😅😅😅
 
Simulia kidogo mkuu,,,,pengine kuna somo/fundisho! Huko mtwara ulienda kujihisisha na mkshe gani ? Hali ikoje ? Kuna mwanga ?
 
Kila mkoa ni pazuri kulingana na akili yako na ndoto zako, hakikisha usikase Bush sana, ishi maeneo ya senta qma wiliyani ,,,,then soma fursa zilizopo kama biashara ama kilimo !
 
Angalia palipo na wasukuma wengi kati ya hiyo mikoa. Hao jamaa hawaendagi mikoa ya hovyo na wanatembea na mipesa. Walipo kuna mambo mazuri linapohusika suala la kilimo, ufugaji na biashara. Pia wanamwaga pesa tu.

Kama idadi yao katika mikoa hiyo inalingana, basi uwezekano wa kutoboa kuko sawa kati ya mikoa tajwa.

Ingekuwa ni mimi:
1. Kilimo ningeenda katavi, na mazao ningerudisha Didia au Kagongwa-Shinyanga penye noti za mazao.
2. Kuuza madawa ningetafuta sehemu yoyote nchini.
3. Ufugaji ningeenda Katavi.
4. Show off ningepeleka Moro ili ni-enjoy kunyonga ndinga kwa ruti za Moro-Dar, Moro-Iringa, Moro-Dom kila mwisho wa mwezi.
 
Inaonekana katavi kuna fursa nying
 
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?

The fursa is awaiting you over here. Karibu Mpanda, Tanganyika mkoa Katavi.
 
Back
Top Bottom