Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
Kwenye kilimo na biashara ya madawa ya binadamuQuality zinataka kufanana.
japo inategemea wewe unataka kutobolea kwenye kipengele kipi.
Nimekuja kutafyuta fursa hapa Mtwara najuta.Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?
Madawa ya binadamu nenda katavi ✍️✍️.Kwenye kilimo na biashara ya madawa ya binadamu
Simulia kidogo mkuu,,,,pengine kuna somo/fundisho! Huko mtwara ulienda kujihisisha na mkshe gani ? Hali ikoje ? Kuna mwanga ?Nimekuja kutafyuta fursa hapa Mtwara najuta.
Akina
Ndege John wameniuza oooh Masasi Masasi😅😅😅
Inaonekana katavi kuna fursa nyingAngalia palipo na wasukuma wengi kati ya hiyo mikoa. Hao jamaa hawaendagi mikoa ya hovyo na wanatembea na mipesa. Walipo kuna mambo mazuri linapohusika suala la kilimo, ufugaji na biashara. Pia wanamwaga pesa tu.
Kama idadi yao katika mikoa hiyo inalingana, basi uwezekano wa kutoboa kuko sawa kati ya mikoa tajwa.
Ingekuwa ni mimi:
1. Kilimo ningeenda katavi, na mazao ningerudisha Didia au Kagongwa-Shinyanga penye noti za mazao.
2. Kuuza madawa ningetafuta sehemu yoyote nchini.
3. Ufugaji ningeenda Katavi.
4. Show off ningepeleka Moro ili ni-enjoy kunyonga ndinga kwa ruti za Moro-Dar, Moro-Iringa, Moro-Dom kila mwisho wa mwezi.
Kama mada tajwa hapo juu wakuu hivi ni mkoa gani rahisi kutoboa Kati ya katavi na morogoro hasa hasa kwa watumishi wa umma maana kuna mikoa mingine kutoboa ni kipengele kiukweli maana hali ya maisha ipo juu sana kwahiyo kati yq katavi na morogoro ni mkoa upi rahisi kutoboa?