Hivi kati ya Korede Bello na Kizz Daniel nani mkali wa kuimba?

Hivi kati ya Korede Bello na Kizz Daniel nani mkali wa kuimba?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe juu yenu wakuu

Kuna vijana wawili wakali kutoga Lagos KIIS Daniel na korede bello hawa wasanii wote ni wakali Wa na saut zao huwa ni noma sana

Je nan ni mkali kuliko mwenzake

Je korede bello ndo mkali au kiss Daniel ndo mkali Wa mwenzie

Kiss Daniel

Korede bello
Kiss-Daniel-Naijaurban2.jpeg
Korede-bello-main-640x379.jpeg
 
Kiss Daniel ni noma "

Korodebelo anajua lakini kina chombeba zaidi yupo kwenye management bora na kubwa Africa
 
Kiss Daniel ni habari nyingine ..
Belo anajua ila kiss Daniel anajua zaidi
 
Had I kufikia hapa kiss Daniel anambuluza vibaya mno korede bello tuendelee kupiga kula
 
Aman iwe juu yenu wakuu

Kuna vijana wawili wakali kutoga Lagos KIIS Daniel na korede bello hawa wasanii wote ni wakali Wa na saut zao huwa ni noma sana

Je nan ni mkali kuliko mwenzake

Je korede bello ndo mkali au kiss Daniel ndo mkali Wa mwenzie

Kiss Daniel

Korede belloView attachment 977717View attachment 977718
Ndio kwanza nawasikia kwako hawa wasanii.
 
Hizo zama zilikuwa zao wote Mana kila mmoja wao alifanya kitu cha muhimu na maana kwelikweli
 
Wasanii Nigeria ni wengi mno,yaani kila nyumba Kama matundu ya vyoo
 
Back
Top Bottom