Siunaona watu wanasema "kiss daniel japo belo ni mkali".. Hapo tu utajua mkali naniKwanini mkuu
Acha utoto bas
Ndio kwanza nawasikia kwako hawa wasanii.Aman iwe juu yenu wakuu
Kuna vijana wawili wakali kutoga Lagos KIIS Daniel na korede bello hawa wasanii wote ni wakali Wa na saut zao huwa ni noma sana
Je nan ni mkali kuliko mwenzake
Je korede bello ndo mkali au kiss Daniel ndo mkali Wa mwenzie
Kiss Daniel
Korede belloView attachment 977717View attachment 977718