Hivi kati ya mume na mke nani humfuata mwenzie?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Jibu ni rahisi, ukinunua bidhaa dukani waitumia wapi?
  • Dukani ulikoinunua
  • Nyumbani kwako
 
Hili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwaani katika uumbaji nani aliumbwa?? Ukipata jibu basi aliyetokana na mwingine ndie mwenye jukumu la kumfuata mwenzie.

Sawa na yanga na Simba hakuna namna zaidi ya kusema yanga ndo baba kwa makombe na ukongwe
 
Hili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
.ke anamfuata mume..na alifika tu jambo la kwanza ni kuandaa mazingira kwa kufanya usafi
 
Mwanaume yoyote kamili lazima amuandae na kuhakikisha mke afike kileleni kwanza halafu yeye ndio anakuja kumaliza kazi sasa rasmi.
 
Mke ndio anamfuata mume, tena ahakikishe akifika anavaa dela tupu ili mambo yasiwe mengi.
 
Back
Top Bottom