Jibu ni rahisi, ukinunua bidhaa dukani waitumia wapi?Hili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mwanamke na anapewa uhamisho ni sawa na martenity leave anapokua mjamzitonani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?
Mwanamke na anapewa uhamisho ni sawa na martenity leave anapokua mjamzinani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?
Dharau hiziMwanamke/Yanga humfuata Mumewe/Simba
Kwaani katika uumbaji nani aliumbwa?? Ukipata jibu basi aliyetokana na mwingine ndie mwenye jukumu la kumfuata mwenzie.Hili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
.ke anamfuata mume..na alifika tu jambo la kwanza ni kuandaa mazingira kwa kufanya usafiHili swali kwa mashabiki wa Yanga na Simba mnijuze iwapo mume na mke wakawa sehemu tofauti kikazi,nani huwa anatafuta kwa kila njia uhamisho kumfuata mwenzi wake?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app