Habar za muda huu wana jamiii,ktk masuala yetu hasa ya mapenz kunakiti ambacho hulalamikiwa na wengi hasa wanawake wao ndio husema kwamba tunawachezea.
Sas napata shaka na huu msemo kwamba kam men ndio vinala wa kuwachezea wanawake,wakat muda mwinginee wanawake haohao ndio wa kwanza kuwabwaga jamaaa zao kwa sababu mbalimbal ikiwemo ya kuanguka kiuchumi.
Kundi lipi linaongoza kumchezea mwenzake?????[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]