Hivi kati ya Mwijaku na Diamond Platnumz nani limbukeni?

Hivi kati ya Mwijaku na Diamond Platnumz nani limbukeni?

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Huyu jamaa ingekuwa yupo kabila la wenye misimamo wangesha mchapa viboko kwa mwenendo wake ila utafutaji wa riziki japo sio mwajumwa wa uswahilini.

Huyu jamaa kwa sasa kunaweza kumkost japo ndio alikuwa mfano wake.
Screenshot 2024-06-18 183341.png
 
Acha kiherehere Alichokizungumza ni sahihi au si sahihi?

kitendo cha kuanza kupiga picha na pesa feki maana yake nini kama si ushamba na ulimbukeni?
 
Back
Top Bottom