Hivi kati ya Mwinyi na Nyerere ni nani Rais wa kwanza Tanzania baada ya Tanganyika

Hivi kati ya Mwinyi na Nyerere ni nani Rais wa kwanza Tanzania baada ya Tanganyika

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Jamani wana historia naomba mnifahamishe kuna utata umetokea kuhusu nani alikuwa raisi wa kwanza wa tanzania baada ya tanganyika.....

Kuna wana historia wanasema mwinyi ndo raisi wa kwanza tanzania baada ya tanganyika .

Kuna wana historia wanasema nyerere ndo alikuwa raisi wa kwanza wa tanganyika.

Na wengine wanasema nyerere alikuwa raisi wa tanganyika miaka yote aliyotawala ila kipindi cha kuanzia 1964 hadi 1986 alikuwa ni raisi wa mpito tanzania ila raisi mwenyewe kabisa ni mwinyi....

Hebu tusaidianeni katika hili jambo karibuni tujadili pamojaaaa
 
Back
Top Bottom