Hivi ni combination ipi apa ambayo una ipenda wewe. Kati ya ringo na tin white au tin white na mkojani
View attachment 2301441View attachment 2301443
Hivi uyu jamaa ni mtoto wa mchezaji wa Yanga wa zamani Mohamed Mkweche au ni jina tu?White na mkweche
Hivi uyu jamaa ni mtoto wa mchezaji wa Yanga wa zamani Mohamed Mkweche au ni jina tu?
WasaniiNdio nani hao?
Kama Mimi [emoji1]Nimeona picha tu nimeshacheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye picha Tin ndiye yupi... na Ringo ndiye yupi..?Ni waigizaji nadhani wa vichekesho..
Hawa Jamaa ukisafiri na Mabasi ya Tanga lazima utawajua tu..
Sijuagi hata huwa wanaigizaga nini hawa!!yaani nikiona watu wanacheka maigizo ya hawa jamaa huwa nashangaaga sana!!nikiwa kwenye basi ni heri niweke Earphone masikioni nisikilize hata mapambioHivi ni combination ipi apa ambayo una ipenda wewe. Kati ya ringo na tin white au tin white na mkojani
View attachment 2301441View attachment 2301443