Hivi katibu mkuu wizara ya elimu analifahamu hili?

FIKRA HAI

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2013
Posts
231
Reaction score
79
Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi imeratibu mafunzo kabilisho kwa vijana 374 chuo cha ualimu Mambo bduli.Aidha mafunzo haya yalifanyika chuo cha ualimu Morogoro miaka ya nyuma,wakufunzi hao waliiuwa wanapunjwa katika malipo Yao na baada ya kugundua hilo wasimamizi Wa wizara walipanga kuhamishia Monduli ili waendelee kuwanyonya wakufunzi Wa Monduli,aidha ni kudhalilisha taaluma na wizara kwa ujumla Wake.

Binafsi naamini kuwa katibu mkuu hayajui haya na hatakubali wizara kuchafuliwa na wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…