Hivi katika sehemu za biashara, moja ya sharti lisilo rasmi la leseni wanazopewa ni kufungulia TBC?

Hivi katika sehemu za biashara, moja ya sharti lisilo rasmi la leseni wanazopewa ni kufungulia TBC?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hapa Dodoma, nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasimi, na nimegundua sehemu nyingi za biashara kama mabaa, migawaha, n.k, muda mwingi wanapenda ku-tune TBC na Mama anapokuwa live, basi ndio kabisa watamuonyesha mwanzo mwisho.

Sio kosa na sio vibaya kufanya hivyo. Swali ni je, vituo vingine havina vipindi vya kuvutia au vinavypoendwa na wateja wao?

Au wenzetu moja ya shariti lisilo rasimi la leseni zenu za biashara ni kufungulia TBC?

Au tatizo ni wamiliki wenyewe wa hizi sehemu za biashara?

Jamani tukija katika baa zenu, mtbue hatujaja katika ofisi za umma maana huko walau wanaweza kubanwa lakini sio katika sehemu zenu za biashara.
 
Waimba mapambio hawaja wahi kuisha zaidi wanajiibua Kila siku,na hivi Sasa zipo juhudi kubwa za kujigeuza waimba pambio wa kidigitali a k.a wa kizazi kipya.
 
Back
Top Bottom