Hivi Kenya hakuna polisi , mbona wapinzani hawapigwi mabomu ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
 
Mkuu leo watu wanaonyesha hisia zao ila kwa kusema kweli ingekuwa hpa kwetu ile mimaji ya washa washa ingepata kazi, sipati pia wale waliyokuwa wanagara gara barabarani wangekuwa na hsli gani...lkn ndo demokrasia, big up kwa askari wa kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .
 
Andiko lako limenichoma sana !
Pole ndugu yangu ila ukweli haupigiwi kura upo tu hata kama wengine hutaka ueleweke wanavotaka wao. Kuheshimu sheria ni jambo lisilo la hiyari hata kama hupendi lazima uogope kuvunja sheria ila nyie bado sana maana sheria zenu ni kwa baadhi yenu
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Polisi wa Kenya wamepitia mafunzo ya Uaskari...wa hapa kwetu wameingia kwa vimemo!
 
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !

Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !

Mungu ibariki Kenya .
Hawapigwi, ila wanakufaga mysterious death na kupotea.
 
Polisi wa Kenya wanajitambua Mkuu hawatumiki na yeyote kudhalilisha raia wao kama hawa polisiccm.

Kenya wako mbali sana kwenye democracy lakini wa lumumba wakisikia hili hawakawii kununa na kuja na majibu yao ya kijuha "hamia Kenya basi"

Back
Top Bottom