Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .Mkuu leo watu wanaonyesha hisia zao ila kwa kusema kweli ingekuwa hpa kwetu ile mimaji ya washa washa ingepata kazi, sipati pia wale waliyokuwa wanagara gara barabarani wangekuwa na hsli gani...lkn ndo demokrasia, big up kwa askari wa kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine hao viongozi wenzake hawajifunzi lolote kwake.. Wanamuona mzembe tu au rais wa mchezo mchezo asiyejiamini..Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .
Kwa walichokionyesha leo ni point hiyo kwanza live coverage yote ya petition bila kuficha kitu, kumbuka jana pia kma uliweza kuona matokeo ya uchaguzi wa speaker yalivyokuwa yanasomwa it was very nice to watch.Ushauri - Kenya ijiondoe EAC , haifanani na wanachama wengine , ikibaki itajichafua .
Mungu ibariki Kenya .Kwa walichokionyesha leo ni point hiyo kwanza live coverage yote ya petition bila kuficha kitu, kumbuka jana pia kma uliweza kuona matokeo ya uchaguzi wa speaker yalivyokuwa yanasomwa it was very nice to watch.
Andiko lako limenichoma sana !Wenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Pole ndugu yangu ila ukweli haupigiwi kura upo tu hata kama wengine hutaka ueleweke wanavotaka wao. Kuheshimu sheria ni jambo lisilo la hiyari hata kama hupendi lazima uogope kuvunja sheria ila nyie bado sana maana sheria zenu ni kwa baadhi yenuAndiko lako limenichoma sana !
Polisi wa Kenya wamepitia mafunzo ya Uaskari...wa hapa kwetu wameingia kwa vimemo!Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Hawapigwi, ila wanakufaga mysterious death na kupotea.Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Wajuzi wa kulimboka?Hawapigwi, ila wanakufaga mysterious death na kupotea.
Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
mkenya umenichoma sanaWenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.