Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
😀Kwetu ni mabomu ya machoz na maji ya washasha, kwa wenzetu ni kutoa roho kabisa. Duuuh! This is Africa bhana..
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sasa tunaomba taarifa ya utafiti wa hayo uliyoyataja.Kiwango cha uelewa wa wananchi wa Kenya kila kundi kipo juu sana ukilinganisha na cha Watanzania.
1) Huwezi kulinganisha uelewa wa viongozi wa Kenya na Tanzania
2) Huwezi kulinganisha majaji wa Kenya na Tanzania
3) Ukimwondoa Tundu Lisu, huwezi kulinganisha viongozi wa kisiasa wa Kenya na Tanzania, iwe CCM au upinzani
4) Huwezi kulinganisha ujasiri wa Wakenya na Watanzania
5) Huwezi kulinganisha uelewa wa wananchi wa Kenya na Tanzania
6) Huwezi kulinganisha ujasiri wa wasomi wa Kenya na Tanzania
Watanzania karibia wote ni watu waoga, uelewa mdogo, wanafiki, watu wa maneno mengi lakini matendo ni sifuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi takwimu unazifahamu?Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Hao wote 143 ni wanasiasa wa upinzani ? , halafu kingine ni hiki , kuweka rekodi ya wanaokufa ama kuuawa na polisi ni jambo la uwazi zaidi , lakini ni nani anazo takwimu za maelfu ya binadamu wanaookotwa Bahari ya Tanzania kila siku ?Hizi takwimu unazifahamu?
Mpaka September 24, 2017 juml ya watu 143 walikuwa wameuawa na polisi nchini kenya.
DEADLY FORCE DATABASE
Una taarifa kuwa kenya ni nchi ya tatu duniani kwa polisi kuua raia, ikitanguliwa na USA na South Africa?
Kenya’s shameful record in global police killings
Post yako ya awali haionyeshi kuwa watu wote waliouhusika na maandamano ni watu wa upinzani! Hivyo nami sikuona haja na pengine haipo haja ya kuwatofautisha watu waliokufa kama wapinzani au wasio wapinzani, wanasiasa au wasio wanasiasa!Hao wote 143 ni wanasiasa wa upinzani ? , halafu kingine ni hiki , kuweka rekodi ya wanaokufa ama kuuawa na polisi ni jambo la uwazi zaidi , lakini ni nani anazo takwimu za maelfu ya binadamu wanaookotwa Bahari ya Tanzania kila siku ?
wapinzani wa kenya wanajielewa sio wa hapa bongoHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Wewe bado sana .Post yako ya awali haionyeshi kuwa watu wote waliouhusika na maandamano ni watu wa upinzani! Hivyo nami sikuona haja na pengine haipo haja ya kuwatofautisha watu waliokufa kama wapinzani au wasio wapinzani, wanasiasa au wasio wanasiasa!
Unasema rekodi za watu wanaookotwa baharini kama zinapatikana, jibu ni ndiyo!
Labda useme unataka waliookotwa wamekufa kifo cha namna gani, maana sio kweli kuwa wale wote wanaookotwa baharini/kwenye maji basi wamekufa maji!
acha upuuuzi wewe amani ndo kila kitu wewe vita isikie kwa wenzioWenzenu tulimwaga damu na hawa mnaowasifu tuliwapeleka ICC the hague ndio maana leo wanaheshimu Raia na sheria za nchi. Nyie endeleeni kusbiri huruma za wasiojua umuhimu wa Amani siku wakijisikia watawapeni haki.
Hili ni jibu la kujihami! Iko wapi hoja hapo?Wewe bado sana .
ni sawa na kusema upinzan wa Kenya wanajielewa kuliko bongoHao wote 143 ni wanasiasa wa upinzani ? , halafu kingine ni hiki , kuweka rekodi ya wanaokufa ama kuuawa na polisi ni jambo la uwazi zaidi , lakini ni nani anazo takwimu za maelfu ya binadamu wanaookotwa Bahari ya Tanzania kila siku ?
Hivi Kenya hakuna upinzani? Mbona hawapingi kila inachofanya serikali na hata hawamtukani na kumdhalilisha rais?Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .