Linganisha na idadi ya wanaookotwa kwenye viroba .
- Kenyan police killed at least 33 people, possibly as many as 50 August 8, 2017 elections, Amnesty International and Human Rights Watch said
- Another 17 were alleged killed, most of them in Kawangware..
- Taken together with the 17 others allegedly killed by police, the nationwide death toll could be as high as 67.
Kenya: Police Killed, Beat Post-Election Protesters
Hiyo hali tete ni ipi hiyo ?huu Uzi bado upo bado. kipindi cha uchaguzi wa kwanza ulikuwa valid. lkn kwenye uchaguzi wa marudio hali ilikuwa tete. naomba uufute tu.
CC:
Erythrocyte
Sasa hilo swali lingine, ni kama mauaji ya kawaida Kenya, bado TZ ni salama zaidi, na ikiwezekana mauaji wakati wa uchaguzi yasiwepo..Linganisha na idadi ya wanaookotwa kwenye viroba .
Tunapoandika hatujiandikii tu kama kasuku , jifunue blanket halafu jiulize wanaopatikana kwenye viroba waliuawa wapi , halafu angalia wanaokufa kenya wanaokotwa wapi .Sasa hilo swali lingine, ni kama mauaji ya kawaida Kenya, bado TZ ni salama zaidi, na ikiwezekana mauaji wakati wa uchaguzi yasiwepo..
Hili ndilo swali lako...Tunapoandika hatujiandikii tu kama kasuku , jifunue blanket halafu jiulize wanaopatikana kwenye viroba waliuawa wapi , halafu angalia wanaokufa kenya wanaokotwa wapi .
Hiv Msando,Rogo yuko wap vileeeHakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Hiyo hali tete ni ipi hiyo ?
Acha kuongelea vitu ambavyo hujui. Most of kenyans hawaamini polisi wao. Halafu hivi unakuwa unatumia upande gani wa ubongo wako kuandika "Mungu ibariki kenya" cos that is most unpatriotioc shit ve ever seen.Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Waliokotwa kwenye viroba vya wapi ?Hiv Msando,Rogo yuko wap vileee
Come on gaidi wa Tanzania anapelekwa mahakaman,kenya n mwendo wa kumalizana tu chuma chuma tu
Msando kapotezwa kama utan tu
Vp unauliza mabomu ilhal watu washachinjana sana tu
Wapinzan wanapelekwa exile
Au tunajitoa ufaham humu ndan
Africa watawala n watawala tu acheni shobo
Unatumia mamlaka gani kunipa mkwara ? Kama uchaguzi wa Kinondoni tu mnaua mtaaminika kwa lipi ?Acha kuongelea vitu ambavyo hujui. Most of kenyans hawaamini polisi wao. Halafu hivi unakuwa unatumia upande gani wa ubongo wako kuandika "Mungu ibariki kenya" cos that is most unpatriotioc shit ve ever seen.
Unataka kuua ccm ?Tanzania police inatakiwa isimame kama muhimili unaojitegemea kama ilivyo mahakama
Sio tu kuua ccm jamaa wamezidi kutumika tu bila ku execute wanachoamrishwa wao wakiambiwa chochote wanafata tuUnataka kuua ccm ?
Acha kudanganya watu.Hakika nchi ya Kenya ni daraja lingine kwa sasa , Yote yanayotokea lakini polisi wa nchi hiyo wameamua kufuata sheria kwa weledi wa kutukuka mno !
Hakuna kabisa uonevu ulioripotiwa wakati harakati za mahakamani zikiendelea , hakuna cha inteligensia wala maagizo kutoka juu , nchi imetulia na wananchi wamekuwa wamoja kuliko wakati wowote ule !
Mungu ibariki Kenya .
Sikupigi mkwara nimekupa facts hujui chochote kuhusu police wa Kenya na your unpatriotic.Unatumia mamlaka gani kunipa mkwara ? Kama uchaguzi wa Kinondoni tu mnaua mtaaminika kwa lipi ?
Kama uzalendo ni kufurahia mauaji ya Aquillina basi ni bora nisiwe mzalendo .Sikupigi mkwara nimekupa facts hujui chochote kuhusu police wa Kenya na your unpatriotic.