Hata mimi napinga mauaji ya watu wasio na hatia hapa naongelea watanzania kwa ujumla siyo tu huyo mwanafunzi lakini hutanikuta nakosa uzalendo kwa nchi yangu jifunzeni kutofautisha political and civil rights hili suala lisumbua sana wana CCM na CHADEMA.