Hivi Kenya kuna uhuru wa kujieleza?

In some countries no one can dare speak about police brutality to the media. One of those countries is our southern neighbor.

Please can you tell us, how speaking about police brutality in media have improved your ranking in police brutality in Afrika list?
 
Mna mambo nyie jamaa wa VPN. Hivi ni kweli kwamba eti hadi Jiwe naye anatumia VPN? [emoji1]

Hapa ni uhuru wa kujieleza. VPN, fungua uzi wake.

Jibu swali la police killings and brutalities in Kenya.
 
Jibu swali, bado Kenya inaongoza Africa katika police killings and brutality, hiyo freedom of expression ipo wapi kama mkiandamana mnapigwa na kuuliwa?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Police brutality iko hata kwa zile nchi ambazo zinakisiwa kuwa na uhuru wa kujieleza wa kiwango cha just Kama: Marekani, Ufaransa, Australia etc!
 
Police brutality iko hata kwa zile nchi ambazo zinakisiwa kuwa na uhuru wa kujieleza wa kiwango cha just Kama: marekani, ufaransa, Australia etc!..
Kwahiyo kama Marekani polisi wanaua watu hovyo, hiyo kwenu mnadhani ni sawa? Kwahiyo tukubali kwamba Kenya kuna uhuru wa kujieleza pomoja na kwamba Kenya ukijieleza unauliwa na polisi kwasababu tu Marekani pia polisi inaua watu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Tuonyeshe watu waliojieleza wakauliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa vile unataka kuelewa. Bila shaka nwenye kung'amua mambo atajua ni kipi nilimaanisha!🤣🤣
 
Please can you tell us, how speaking about police brutality in media have improved your ranking in police brutality in Afrika list?

Tanzania kwa map zote inawekwa 'grey'. Meaning No data.
Mngekuwa na uhuru wa kujieleza huko, mngeshtua ulimwengu na yanayotendeka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…