Hivi Kenya mpo na tatizo la ajira kama Tanzania katika kada za ualimu na udaktari?

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Hapa Tanzania ni mwaka wa tano sasa ajira za walimu hakuna lakini shule vijijini pia hakuna walimu na Serikali haijali walimu, pia madaktari hakuna ajira vilevile, yaani ndani ya miaka mitano wameajiliwa madaktari 1000 tu.

Je, na wenzetu Kenya hakuna ajira katika kada hizo kama Tanzania tu?
 
Thibitisha., do a clear comparison analysis ya hizi sekta mwenzako ameandika humu, wacha wishful thinking na maoni binafsi. Punguza uzembe, do research[emoji23][emoji23]
Kenya Hali ni mbaya kuliko yenu, Mambo tu ni siasa ambazo haziishi[emoji22]
 
GoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.
Pia katika ajira zilizotoka mwaka 2017-2018 kati ya ajira 10,000 madaktari walioajiriwa ni zaidi ya 500, lastly wameajiriwa madaktari 1000 hapo ukijumlisha unaweza ukaona namna gani unakurupuka sana katika mambo yako
Hapa Tz ni mwaka wa tano sasa ajira za walimu hakuna lakin shule vijijini pia hakuna walimu na serikali haijali walimu , pia madaktari hakuna ajira vilevile , yaan ndani ya miaka mitani wameajiliwa madaktari 1000 tu , JE Nawenzetu Kenya hakuna ajira ktk kada hizo kama Tz tu
GoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.
Pia katika ajira zilizotoka mwaka 2017-2018 kati ya ajira 10,000 madaktari walioajiriwa ni zaidi ya 500, lastly wameajiriwa madaktari 1000 hapo ukijumlisha unaweza ukaona namna gani unakurupuka sana katika mambo yako
 
GoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.

Pia katika ajira zilizotoka mwaka 2017-2018 kati ya ajira 10,000 madaktari walioajiriwa ni zaidi ya 500, lastly wameajiriwa madaktari 1000 hapo ukijumlisha unaweza ukaona namna gani unakurupuka sana katika mambo yakoGoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.

Pia katika ajira zilizotoka mwaka 2017-2018 kati ya ajira 10,000 madaktari walioajiriwa ni zaidi ya 500, lastly wameajiriwa madaktari 1000 hapo ukijumlisha unaweza ukaona namna gani unakurupuka sana katika mambo yako

Halafu umwambie mtu daktari anasoma miaka 5 internship mwaka mmoja.
Kupata qualification ya udaktari ni miaka so chini ya sita.
Sasa tangu JPM aanze kuongoza bado qualified doctor aliyeanza naye hajamaliza.
 
Wao wanasomesha watoto wao shule za bei, feza schools et al.! Huko vijijini kuwe na mwalimu kusiwe na mwalimu nobody cares!
 
Halafu umwambie mtu daktari anasoma miaka 5 internship mwaka mmoja.
Kupata qualification ya udaktari ni miaka so chini ya sita.
Sasa tangu JPM aanze kuongoza bado qualified doctor aliyeanza naye hajamaliza.
Kila mwaka wanaqualify wangapi ama unataka kutuaminishia kuwa waliingia pindi tu Magu alianza uongozi? Ama wanafunzi was kusomea udaktari wanachukuliwa vyuoo vikuu after every 5 years??? Usitumie kichwa Kama kabati ya meno Mkuu...think before writing.
 
Okay. Nipe statistics with proof how many doctors qualify each year hapo Kenya!?
 
Sasa ndiyo nini hiyo!? So you produce 600 doctors na wanabaki kwenye slums bila kazi.
According to the World Health organization, the Tanzanian doctor-to-patient ratio stands at 1 doctor for every 20,000 patients.

In Kenya, it's 1 doctor for every 16,000. The recommended doctor-patient ratio is one to 300.
😉
 
So. According to WHO.
1 to 16,000 with population of 45m.
Compared to 60m population.

Akili zako ni fupi.
 
Back
Top Bottom