Kenya Hali ni mbaya kuliko yenu, Mambo tu ni siasa ambazo haziishi[emoji22]
Unaenda kuokoteza data au kupika data ?I'll be back shortly 😬😧
GoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.Hapa Tz ni mwaka wa tano sasa ajira za walimu hakuna lakin shule vijijini pia hakuna walimu na serikali haijali walimu , pia madaktari hakuna ajira vilevile , yaan ndani ya miaka mitani wameajiliwa madaktari 1000 tu , JE Nawenzetu Kenya hakuna ajira ktk kada hizo kama Tz tu
GoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.
Pia katika ajira zilizotoka mwaka 2017-2018 kati ya ajira 10,000 madaktari walioajiriwa ni zaidi ya 500, lastly wameajiriwa madaktari 1000 hapo ukijumlisha unaweza ukaona namna gani unakurupuka sana katika mambo yakoGoT iliajiri madaktari 400 mwaka 2017 ambao ilikua wakaajiriwe na serikali ya Kenya.
Pia katika ajira zilizotoka mwaka 2017-2018 kati ya ajira 10,000 madaktari walioajiriwa ni zaidi ya 500, lastly wameajiriwa madaktari 1000 hapo ukijumlisha unaweza ukaona namna gani unakurupuka sana katika mambo yako
Kila mwaka wanaqualify wangapi ama unataka kutuaminishia kuwa waliingia pindi tu Magu alianza uongozi? Ama wanafunzi was kusomea udaktari wanachukuliwa vyuoo vikuu after every 5 years??? Usitumie kichwa Kama kabati ya meno Mkuu...think before writing.Halafu umwambie mtu daktari anasoma miaka 5 internship mwaka mmoja.
Kupata qualification ya udaktari ni miaka so chini ya sita.
Sasa tangu JPM aanze kuongoza bado qualified doctor aliyeanza naye hajamaliza.
Okay. Nipe statistics with proof how many doctors qualify each year hapo Kenya!?Kila mwaka wanaqualify wangapi ama unataka kutuaminishia kuwa waliingia pindi tu Magu alianza uongozi? Ama wanafunzi was kusomea udaktari wanachukuliwa vyuoo vikuu after every 5 years??? Usitumie kichwa Kama kabati ya meno Mkuu...think before writing.
As of 2016 those that qualified each year were 600.Okay. Nipe statistics with proof how many doctors qualify each year hapo Kenya!?
Sasa ndiyo nini hiyo!? So you produce 600 doctors na wanabaki kwenye slums bila kazi.As of 2016 those that qualified each year were 600.
Kenya producing 600 doctors a year but counties not hiring - survey
According to the World Health organization, the Tanzanian doctor-to-patient ratio stands at 1 doctor for every 20,000 patients.Sasa ndiyo nini hiyo!? So you produce 600 doctors na wanabaki kwenye slums bila kazi.
So. According to WHO.According to the World Health organization, the Tanzanian doctor-to-patient ratio stands at 1 doctor for every 20,000 patients.
In Kenya, it's 1 doctor for every 16,000. The recommended doctor-patient ratio is one to 300.
😉
Buku Saba nimemalizana nawewe.So. According to WHO.
1 to 16,000 with population of 45m.
Compared to 60m population.
Akili zako ni fupi.