Hivi Kenya ni Nchi ya Dini ya Kikristo?

Waafrika ni wabaguzi sana na hatuwezi kubadilika
Akitokea hata Waziri tu tofauti na wao basi atasemwa sana na watachonga sana kwa roho mbaya za Ubaguzi

Kwa [emoji636] PM kuwa mtu mwingine zaidi ya Muzungu ni ngumu sana hata Rishi alijua hilo
Ila watakuwa mawaziri tu lakini sisi hata uimbe wimbo wa Taifa na umezaliwa hapo bado utaitwa asili yako tu why

Je mnajua kuwa kuna nchi 11 za Latin America zina marais au zilikuwa na marais wenye asili ya Kiarabu?

Na walienda huko babu zao kama wafanyabiashara na kwa hela zao waliingia siasa na kufika walipo na wazawa wakawakubali
Guyana mpaka Argentine na kwingine

Ila sisi hata dini hakuna maana dini zinakataza ubaguzi
 
Scientific reasoning ni ya wewe na watu wenyu.
Sasa mkuu.....

Wewe unaona ni sahihi mtu mliemchagua mkaamini ana ubongo wa kuwasaidia kupata solutions ya matatizo yenu,then kila saa anakaa kuimba some gibberish words from an ancient book called bible badala ya kuleta tangible solutions?

Wewe unadhani kutafuta solution ya matatizo tunatumia reasoning ya matakoni mwako?

Ruto aache upumbavu wa kujificha kwenye pazia la Christianity kuficha his incompetencies,alete ubongo hapa afute matatizo sio blah blah

Hoja zinapoisha hua viongozi wajinga hupenda kukimbilia dini
 
Hilo ndio swali huwa najiuliza maana mda mwingi wana entertain mambo ya dini ya kikristo na kuwatenga Waislamu.

Kwa nini iko hivyo? Kama Wajaluo wamepigwa chini Urais, kwa Waislamu si ndiyo itakuwa haiwezekani kabisa?
Islam ni minority,
Anzia bongo,hv Zenj hakuna wakristo!?maana serikali hupanga mpaka bajeti ya kupeleka wazee wa suruali fupi hija.
 

Hiyo ni Filosofia yake na tulimchagua kwasababu ya filosofia yake. Wengi wape. Wewe na usomi wako wa pesa nane ngoja umchague kiongozi wako wa usomi wa pesa nane. Si demokrasia hiyo?
 
Toeni ushenzi wenu nyie wavaa kobazi..upuuzi wenu nendeni nao huko zanz na tanzaniaa...wachana na kenya yetu!
 
Kenya is a Christian Nation, and no one will ever change that. Like it or not that who they are.
 
Any one?, Uliza Jaluo, Kisii, na mijikenda watakuambia ukweli. Kenya is for Kikuyu and Kalenjins only

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Who said that and where is it written. Ata hizo kabila zingine zinaweza ongoza kenya, ile kitu wanatakiwa kufanya ni kuwa na ushirikiano mwema na hizi kabila mbili
 
zanzibar wakiristo ni 1% tofautisha 1% na 15%

Marekani black wapo 30 % , ila katika marais wa marekani zaidi ya 50 black katokea mara moja tu obama. Tena sio pure black bali half cast.

Pia waislam marekani ni wengi ila bado hakujawahi kuwa na rais muislam USA katika hao marais zaidi ya 50 waliopita Us
 
Mwarabu hakuleta dini, dini ulikuwepo kabla mwarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…