Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii.
Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani.
Mara wamekuja mabalozi tele. Mara wanawake wamelia hadi wamejigaragaza.
Hivi kuna mwenye updates zozote hiyo kesi imeoshaje au imeahirishwaje.