Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

MdogoWenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2009
Posts
554
Reaction score
916
Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii.

Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani.

Mara wamekuja mabalozi tele. Mara wanawake wamelia hadi wamejigaragaza.

Hivi kuna mwenye updates zozote hiyo kesi imeoshaje au imeahirishwaje.
 
Andika vzr mkuu
 
Usipende vya kunyonga!
 
Udikteta ni shida sana
 
Kenge mkubwa,

Huoni wenzako wameshtuka na kutii nilichosema



Usipende vya kunyonga!
 
Mtoa uzi hustahili kujibiwa, kwani uzi wako umekuja ki mipasho kama ya kina Khadija Kopa.
 
Baba yako anajuta kuzaa mbwa kama wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…