felakuti
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 659
- 1,207
Katika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha..
Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee mapato zaidi kwa miaka mingi mbele katika upande wa uwekezaji katika biashara
Kuna mwamba alitoa ushaur kua hio wala hangaiki, ananunua bond za serikali, kila mwez anakula M.70+ kwa mwezi , we ni kula raha tu ,, bond za serikal ni salama? Vip uongoz mpya ama serikal mpya inaingia je inaweza kuathiri ama kiongoz mpya akaingia na kutia mkono huko je inakuaje