Kawekeze Kariakoo kwa mkataba wa miaka 10. investment haizidi 1.5-2BKatika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha..
Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee mapato zaidi kwa miaka mingi mbele katika upande wa uwekezaji katika biashara
Kuna mwamba alitoa ushaur kua hio wala hangaiki, ananunua bond za serikali, kila mwez anakula M.70+ kwa mwezi , we ni kula raha tu ,, bond za serikal ni salama? Vip uongoz mpya ama serikal mpya inaingia je inaweza kuathiri ama kiongoz mpya akaingia na kutia mkono huko je inakuaje
Hiyo kilemba siyo pato rasmi....ni wizi mtupu.Kawekeze Kariakoo kwa mkataba wa miaka 10. investment haizidi 1.5-2B
MAKISIO YA MAPATO KWENYE JENGO LA GHOROFA SITA AMBAZO ZOTE NI STORE
basement/underground
maduka 11 x 1.2ml = 13.2ml
jumla kwa mwaka 13.2ml x 12 = 158ml
ground Floor
2ml x MADUKA 4 = 8ml
1.2ml x MADUKA 4 = 4.8ml
1ml x MADUKA 6 = 6ml
800k x MADUKA 4 = 3.2ml
tot per month. = 22ml
jumla kwa mwaka 22 x 12 = 264ml
first floor
MADUKA 9 x 800k = 7.2ml
MADUKA 10 x 600k = 6ml
tot per month = 13.2ml
tot per year= 158ml
tot shops income
basement + ground floor+ first floor
158ml + 264 + 158 = 580ml
MGAWANYO WA HELA KWA PERCENT
Investor 580ml x 70% = 406ml
owners 580ml x 30% = 174ml
MAPATO YA JUMLA KWA MWAKA
Investor 406ml + 3 floors
owners 174ml + 2 floors
HESABU HIZO HAZIJAJUMUISHA MAPATO YA VILEMBA NA FLOOR
Ndotoni.iko wapi hiyo hela kwanza..?
Mkuu haina uhakika sana, Chato watu wanalia huko.Una nunua ardhi kwa bei cheee karibu na majiji makubwa afu miaka 5 unauza mara 4 yake
Ungeweka link ya huo uzi hapa tujue pa kuanziaKatika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha
Huwez jikuta tu na Pesa mkuu..Katika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha..
Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee mapato zaidi kwa miaka mingi mbele katika upande wa uwekezaji katika biashara
Kuna mwamba alitoa ushaur kua hio wala hangaiki, ananunua bond za serikali, kila mwez anakula M.70+ kwa mwezi , we ni kula raha tu ,, bond za serikal ni salama? Vip uongoz mpya ama serikal mpya inaingia je inaweza kuathiri ama kiongoz mpya akaingia na kutia mkono huko je inakuaje
Hadithi za kufikirika hata kuchangia mada ni kuisumbua akili na kuikosea, milioni mfukoni mtu huna , achana na bilioni tena 4, weee!!Katika pitapita humu nakutana na thread nzuri sana ila ilikosa wachangiaji wa kutosha..
Tuzungumze kiuhalisia umejikuta una kiasi cha Bilioni kadhaa kama 3 ama 4..utakifanyia nini kikuletee mapato zaidi kwa miaka mingi mbele katika upande wa uwekezaji katika biashara
Kuna mwamba alitoa ushaur kua hio wala hangaiki, ananunua bond za serikali, kila mwez anakula M.70+ kwa mwezi , we ni kula raha tu ,, bond za serikal ni salama? Vip uongoz mpya ama serikal mpya inaingia je inaweza kuathiri ama kiongoz mpya akaingia na kutia mkono huko je inakuaje
Ni kweli lakini ndio hali halisi inavyoenda. Hata kusipokuwa na kilemba bado investor ataweza kuingiza zaidi ya 500M kwa mwaka ukijumlisha na floor zake 3.Hiyo kilemba siyo pato rasmi....ni wizi mtupu.
iko wapi hiyo hela kwanza..?