Hivi kiasi cha Bilioni 3 hadi 4 kiuhalisia unaweza kuifanyia nini ikuzalishie mapato zaidi?

Nunua bonds za 3bln. Kwa 15 % unakuwa unapata 450mln kwa mwaka. Ukitoa na kodi na nini hukosi 30m kwa mwezi.
 
 

Attachments

  • Snaptik.app_7436438386237525304.mp4
    2.4 MB
ikabidi niache kusoma huu uzi hapo hapo
 
Mkuu haina uhakika sana, Chato watu wanalia huko.
Chato n jiji..? Nimesema ndani ya majiji mkuu yaani pembeni jiji kama dar nenda nunua ardhi utauza tu. Tena muda wa kuuza kata vipande vya 20/20
 
Huwezi kua na B4 halafu ukawa huna akili ya kuwekeza wapi hizo hela,

Labda hizo hela uwe umezipata ghafla tu kwa siku moja na hukuzihangaikia coz mpaka kufikisha hiyo amount ni lazima utakua ume hustle sana tu,

Watakuja kukwambia kua Haiombwi hivyo.
 
Ok mtoa thread.
Tukizungumza kiuhalisia kama ulivyotaka kiukweli huwezi kujikuta tu na kiasi Cha hiyo pesa.
Ahsante
 
vp Poor Brain , huo mtaji ukiletewa kwenye biashara yako ya video library, si mambo yanakuwa poa?....
huo mtaji ataanzisha video library mpya elfu tano kwa mgawanyo wa milioni moja kila library

Endapo kila library ikampa minimum Faida Tsh elfu 5

5,000*5000 faida milioni 25 kwa siku

kwa mwezi anapata faida Tsh milioni 750,000,000/=

You might have Poor Brain but rich thought
 
Jamani jaribuni kuwaga seriously basi khaaa
 
Kuchoshana tu hapa mkuu.

Otherwise, labda pesa hizo anazo ndotoni. Aendelee kupambana.

View attachment 3204583

View attachment 3204585

View attachment 3204586

View attachment 3204588

-Kaveli-
Sasa dogo umekuja kwa fluku zote hizo kana kwamba unataka kuniabisha, sijasema hela ninazo, hua hamsomi thread vyema mnakurupuka kutafuta thread zulizopita ili uonekane mwamba, kumbe mpumbavu tu na maskini wa akili, mtu akikuta thread especially zenye nafas ya kutoa wazo la biashara ama uwekezaji anasema bila hata ya kukejeli kuuliza kwamba pesa zipo ama hazipo, hicho ulichofanya unaona umewin kweli maisha 😂kumbe ni umejionesha wazi ulivyo mjinga hata uwezo wa kufikiria ni mdogo sana sana zero brain na zaidi nakushaur jaribu kupata elimu zaid uondoe ujinga na acha kuishi uswahilini, mana hizo ni tabia za kike za waswahili. Shame upon your head and entire generation. Nimekudharau sana. Looser. Grow up.
 
Ok mtoa thread.
Tukizungumza kiuhalisia kama ulivyotaka kiukweli huwezi kujikuta tu na kiasi Cha hiyo pesa.
Ahsante
Ni umaskini tu na elimu ndogo unatusumbua watanzania.
 

Stupid & nonsense. 😎

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…