Umecheki expiry date mkuu?Wakuu, mko poa?
Ebana niko mkoa flani kikazi nikaona ngoja niende bar kutandika vyombo,nimekuta Heineken zinauzwa 6 kwa 13,500/=, nikaona ngoja nipige Heinken tu.
Sasa nashangaa watu wa jirani yangu wananiteta mpaka wengine wanahis eti me mtu wa kitengo kumbe sina hata uhusiano nao hao watu.
Je, wakuu kunywa Heineken in symbol kuwa mtu uko fresh economically?
Joseph Sinde WariobaKUNA WATU WANAKUNYWA GONGO NA WANA NG'OMBE KIBAO ZIZINI PAMOJA NA PESA CHINI YA GODORO
Wamekushangaa mwanaume mzima unakunywaje heinkein?Wakuu, mko poa?