:sad:Ni kweli nchi imewekezwa rehani kwa kutumia vitisho, vyombo vya dola (ikiwemo mchakachaji namba moja tume ya uchaguzi) na viongozi wa serikali waliowekwa kwa hisani ya uswahiba
Angekuwa kwa ajili ya watanzania angesikiliza uamuzi wao, angekubali kushindwa safari hii. Lakini kwa kulazimisha ushindi ni ishara kwamba si rais wa watanzania bali wa wale waliomuweka kwa manufaa yao.