Nimekugongea thanks kwa uelewa mdog
Hii haitaji machinga kuingia chuo pole sana
The Following User Says Thank You to njoro For This Useful Post:
King of Kings (Today)
Tatizo ni kwamba wakati Mafisadi wa CCM walipokuwa wanajigamba kwamba "wanaafunzi" wa U-Dom wamejichangisha fedha kwa ajili ya kumfanyia kampeni Dr. (Mzee wa kuchakachua) na kwamba mpo tayari kuzunguuka nchi nzima kumkampenia wote mlikuwa kimya. Baada ya hapo tukatiwa kichefuchefu zaidi kwa "Tamko" lenu la kulaani kitendo cha wabunge wanamapinduzi kususia hotuba ya Dr. wa kuchakachua matokeo. Kama kwamba hilo halitoshi, juzijuzi mlimtunukia Mzee wa kuchakachua u-Dokta kwa "kazi nzuri" (Sijui ipi vile?). Wanamapinduzi wenye uchungu wa dhati na uharamia wa CCM tumeshangazwa na kimya chenu bila kufurukuta hata kidogo. Ndiyo maana wengi tulikuwa tukiamini kwamba labda sifa mojawapo ya kuingia hapo ni kuwa mwana CCM yaani Chama cha Mafisadi (Vibakauchumi).we ni kilaza kweli,u allow ur hate feelings get the better of ur stupid head,.unashndwa kuelewa zile ni propaganda,