Hivi kilimo kitanitoa au nitaangamiza pesa?

Prince Mbega

Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Nataka nilime mahindi ila nahofia kuangamiza pesa. Je, nipande mbegu gani iliyo bora kwa kipato kingi?
 
Kabla ya kulima chakwanza fanya utafiti.. Kuanzia shamban hadi sokoni.. Utafanikiwa
 
Nakiona kilio mbele..ndugu yangu kama hela ni ya ngama na hujawai fanya kilimo maishan ndo unaanza yaan lazma ulie,trust me,hata ukifata taratib zote..so achana kabsa na hyo kitu

Ushaur..umiza kichwa kutafta mentor.yaan mtu anaelima na kufanya biashara hyo au zao lolote muda mref,.mwombe chini ya miguu yake mfanye wote step by step hata kwenye eneo moja aku guide kila kitu hata kumlipa mlipe.hapo utatoboa
 
Mkuu gunia la mahindi tsh 18000-40000/= sasa naomba nikwambie ukweli kuwa angalia kilimo kingine sio mahindi maana utajinyonga mwakani mwezi kama huu
Ulitaka Gunia liuzwe sh ngapi? Leta mchanganuo wa Gharama za kupata hilo Gunia moja zen tulinganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…