Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Jul 1, 2020 #101 MVB Jr said: Panzi wanakata miche yangu sana.. Naomba unitajie majina ya hizo dawa za panzi.. Click to expand... Mkuu nishasahau hata majina...sikumbuki Kama ni Attackan au ni dawa gani! Nenda tu dukani kaulize...kilimo chema
MVB Jr said: Panzi wanakata miche yangu sana.. Naomba unitajie majina ya hizo dawa za panzi.. Click to expand... Mkuu nishasahau hata majina...sikumbuki Kama ni Attackan au ni dawa gani! Nenda tu dukani kaulize...kilimo chema
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 1, 2020 #102 Vijijini huko wanaitamka dawa kama "DUDUMEKSHENI" lakini kiuhalisia inaitwa ACELAMYCTINE japo na mimi sina uhakika na hizo spelling! Kwa Kariakoo 1l package ni 28k TShs Cc Wangari Maathai MVB Jr said: Sawa, ahsante. Click to expand...
Vijijini huko wanaitamka dawa kama "DUDUMEKSHENI" lakini kiuhalisia inaitwa ACELAMYCTINE japo na mimi sina uhakika na hizo spelling! Kwa Kariakoo 1l package ni 28k TShs Cc Wangari Maathai MVB Jr said: Sawa, ahsante. Click to expand...