Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, They are tooo politicians than a helping Hand, What they know is kuweka policy ambazo wao wanaona zinaanufaisha kisiasa, Hakuna mitaji inayowekwa kwenye kilimo ya kutosha na Hakuna mipango thabiti ya kilimo, Mathalan leo unamwambia mtu alime mpunga au mahindi lakini humuhakikishii soko la mazao yake, akitaka kuuza nje ya Nchi Unamzuia akitaka kuleta Dar ili apate japo faida kidogo analipa ushuru wa mazao kila wilaya, akiuza anapata faida asilimia 15 nyingine yote inarudi mikononi mwa Magamba!Sikia mwana Jf.
The thing is, no body cares about the living conditions of we tanzanians instead they are fighting for their own political interests. mfano, je ni kweli kuwa watanzania hawana nguvu za kulima kiasi hata cha kujipatia mazao kwa ajili ya chakula chao? Jibu ni hapana, the problem ni kwamba kilimo chetu ni chakutegemea mvua. do you expect to be productive in that? je, ugawaji wa power tillers (1) kila wilaya ndo itamkwamua mkulima toka ktk dimbwi la imaskini? ebu wanasiasa waache kumdanganya mtanzania wa leo.
Hakuna kilimo kwanza wala kilimo mwanza, wizi mtupu.