Sikia mwana Jf.
The thing is, no body cares about the living conditions of we tanzanians instead they are fighting for their own political interests. mfano, je ni kweli kuwa watanzania hawana nguvu za kulima kiasi hata cha kujipatia mazao kwa ajili ya chakula chao? Jibu ni hapana, the problem ni kwamba kilimo chetu ni chakutegemea mvua. do you expect to be productive in that? je, ugawaji wa power tillers (1) kila wilaya ndo itamkwamua mkulima toka ktk dimbwi la imaskini? ebu wanasiasa waache kumdanganya mtanzania wa leo.
Hakuna kilimo kwanza wala kilimo mwanza, wizi mtupu.