Ninauliza swali hili kwa sababu karibia bajeti ya 2009/10 inafikia ukingoni bila kusikia kama kuna nyongeza yoyote ya mishahara mwaka huu.Ugumu wa maisha na kupanga kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali zimechangia maisha kuwa magumu.Mlio karibu na wahusika mtusaidie jibu.