Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
😷😷😷😷😷Kwani wao Wanawake hawana Wazazi wa kuwajali na kuwahudumia ? Acha ubinafsi, wewe unawahudumia na kuwajali Wazazi wa mke wako ? Wakizeeka utawaleta nyumbani kwako ?
Asante kwa kuwa mkweliKama mlikuwa mnaishi vizuri lazima uhuzunike sana
Ila kama ndio paka na chui mmmh
Ni wachache mnoo wenye mawazo kama yakonisihuzunike kisa nini?? ni kama mama yangu mzazi,kwanza kanizalia mume kamlea vile aliweza mpaka tukakutana na kupendana namchukia kwa misingi ipi?? Mungu ampe maisha marefu
Analia atakosa wa kutokuelewana nae.Haya Mambo bhana huwezi kuyatolea jibu la moja kwa moja, moyo wa mtu ni kichaka,
Wiki 2 zilizopita ulitokea msiba wa Bibi mmoja huko kijijini, enzi za uhai wake alikuwa nae mke mwenzie hawakuwa na maelewano hata kidogo, lakini ajabu mke mwenzie alilia na kuhuzunika mpaka kupandisha presha, kila mtu alikuwa akimshangaa huyo bimdogo
Kabisa kitu kikiondoka ndipo unauona umuhimu wakeAnalia atakosa wa kutokuelewana nae.
Maisha yalivyo Kila mtu Ana umuhimu wake na huwezi kuuona umuhimu wa mtu Hadi aondoke kwenye maisha yako