Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

He he he kwa. Mfano huyo dada au baloz yupo humu. Akaisoma hii story itakuaje sasa kwenye ndoa yao
Usiwe na wasiwasi, kijana wa shigogo huyu anafanya practice kunoa kipaji chake.
 
He he he kwa. Mfano huyo dada au baloz yupo humu. Akaisoma hii story itakuaje sasa kwenye ndoa yao
Usiwe na wasiwasi, kijana wa shigongo huyu anapractice kunoa kipaji chake
 
Ujana una mambo mengi Nina story nyingi hasa ujana ukiwa unachemka

Ujana huu umenipa story za kusimuulia maishani,
Daah mzee kwny hii story yako haya maneno ya mwisho yananigusa

kuna kipindi wkt npo mwaka wa pili chuo kuna mke wa mtu nilimla yan huyu demu alikuwa ni demu wngu zaman sana baadae akaolewa tukapotezana sas kuna sku aliniona kuptia facebook akaja inbox tukasalimiana story zikaanza upya, mara unaishi wap... Mara ooh ngopa niklje nikutembelee, katk mahusiano yetu huko nyuma nilikuwa cjawah kumla hata sku moja bt ile sku kanitembelea pale getto faster tu akachinjwa, daah kutoka ile sku c akahamia bhna ilikuwa mumewe asbuh akienda kazn yeye anaamka anakuja mtaani yan huo mchezo uliendelea paka nilipomaliza chuo nikarudisha chumba nikarudi home. Hapa kukutana ilikuwa ni issue maana ilikuwa paka nigharamie guest.

Siku ya kwnza namla huyu manzi mapigo ya moyo yalikuwa hayapo sawa maana kila nikifkria ni mke wa mtu daah naona km mume wake yupo njian anakuja kufumania ila baada y muda nikazoea.

Ajabu ni kwmba baada y hilo tukio nilifululiza kuwala wake za watu wakutosha tu paka nikaanza kujishangaa. Najilazimisha kuacha ila unakuta kuna jitu linajirahisha na mimi nasema bac huyu ni wa mwisho nakula tena

Huu uzi wako umenpa somo ikiwezekana niongeze bidii ya kuwakwepa kabla ulimwengu haujanipa somo la kunifanya nizidi kuwaona sumu
 
venchwa hayo uliyefanya 99% Mkeo pia atang'atwa mapema sana na mbaya zaidi utafahamu kuwa kuna Kijana anapewa burudani,
 
Ujana una mambo mengi Nina story nyingi hasa ujana ukiwa unachemka

Ujana huu umenipa story za kusimuulia maishani,
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010, nilikuwa nakaa kigamboni Dar as salaam sehem moja mtaa wa Kisiwani,

[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ni kweli mke wa mtu huwa mtamu sana..hata mama yako pia ni hivyo hivyo jamaa wanamtafuna.
 
Kwasababu anahudimiwa vzr na mwenye mali ila utavyofanya nawe utalipwa hivyo hivyo
 
Unajikuta unapiga mke wa mtu hadi unajiuliza hivi kwa utamu huu inakuwaje Mme wake anampa stress huyu mwanamke,,,,,
 
Jiandae tu kwa lolote mbeleni au katikati ya safari yako.
 
Ulivyosema kigamboni, yuko. Nje, chuo anachosoma. Mkewe, zawad alizokuletea mume wa huyo dada, mzee wa. Miaka 60 kuoa binti wa 32 kama unajijua huwez kujua ni wewe na tayar umesema kabisa ni baloz unahtaj jina kwel kwa hayo yote
Sijaelewa hapa kiukweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…