Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

Hehehe wengine tukiitwa kula mzigo tunasingizia tuko bize kwasababu tunajua tukienda lazima tutoe hela ya nauli na kumfuta jasho kidogo.
Mkuu uko kama mimi muda mwingine unajitungia safari nipo mkoa mana akika tu lazima bajeti iende mrama
 
He he he kwa. Mfano huyo dada au baloz yupo humu. Akaisoma hii story itakuaje sasa kwenye ndoa yao
Umemuuliza swali zuri sana, kama wahusika na wao wapo humu JF basi wakiunganisha "dots" watamfahamu huyu jamaa.
By the way, Uzinzi ni tabia isiyoweza kufichika, watu watafanya siri sana lakini ipo siku kila kitu kinakuwa hadharani.
 
Akili yako tu, ndiyo inayokushauri na kukuonesha hivyo..
 
Huyu jamaa mwenye taarifa zake ,si ndiye aliyeangukiwa na vioo vya ghorofa ? Anaendeleaje ?
 
Umemuuliza swali zuri sana, kama wahusika na wao wapo humu JF basi wakiunganisha "dots" watamfahamu huyu jamaa.
By the way, Uzinzi ni tabia isiyoweza kufichika, watu watafanya siri sana lakini ipo siku kila kitu kinakuwa hadharani.
ni kweli kabisa kwangu yameshafichuka mara nyingi sana.
 
Kimbembe wapangaj wenzangu wana wake zao topic ikawa mimi sijui wivu, hasa wake zao wanaweka kikao nje kupiga story uku niko ndani nagawa upako

"Enough of No Love"
 
Jamaa wewe mzinifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…