Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

Kimbembe wapangaj wenzangu wana wake zao topic ikawa mimi sijui wivu, hasa wake zao wanaweka kikao nje kupiga story uku niko ndani nagawa upako

"Enough of No Love"
Hahaha
 
Nani huyu, Mama Malam**gi?
 
Ni kwasababu haumlipii kodi, haumnunulii mavazi, haujui shida za familia ya wazazi wake,haji kwako akiwa na muonekano wa nyumbani bali atajiremba na kujipodoa,hakuombi pesa sababu anatumia za mumewe, na kadhalika.

Mnapokutana na mke wa mtu ni kwaajiri ya swala moja tu nalo ni kungonoka ndicho kinachowaunganisha hakuna cha ziada.

Kinachofanya wanaume kuona wake zao ni wa kawaida ni hii kulipia mzigo wa magharama hadi hisia zinakufa maana kuna kuwa na ile hali ya kuwaza nikimletea mazoea ataniambia shida fulani so inakuwa kama kero Fulani.
 
Vp mdau bado unamkula
 
Ni hadithi ama la ila kama ni kweli una expose privacy zinazoweza pelekea mtafaruku
 
Ulivyosema kigamboni, yuko. Nje, chuo anachosoma. Mkewe, zawad alizokuletea mume wa huyo dada, mzee wa. Miaka 60 kuoa binti wa 32 kama unajijua huwez kujua ni wewe na tayar umesema kabisa ni baloz unahtaj jina kwel kwa hayo yote
Jamaa hana staha amemdhalilisha dada wa watu mumewe na yeye binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…