Hivi kinyume cha " Daifu" ni nini

SAGANKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
313
Reaction score
202
Napenda kufahamu kinyume cha neno "Dhaifu".Kisha mnisaidie kutaja nani kati ya marais awamu zote ni dhaifu zaidi.Kuanzia wa kwanza kwa udhaifu hadi wa mwisho ambae atakuwa na jina ambalo ni kinyume na dhaifu.
 
Mods naombeni mu-edit kwenye title hapo,nilimaanisha Dhaifu na sio daifu
 
Dhaifu ---> imara, -enye nguvu, thabiti
 
Dhaifu kinyume chake shupavu.
 
Huu ugonjwa wa kuchapia naona umekuwa critical!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…