Hivi kipa aliedakia Azam ni yule aliecheza Zanzibar ama mdogo wake??

Hivi kipa aliedakia Azam ni yule aliecheza Zanzibar ama mdogo wake??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Badop najiuliza sana holiswali wapendwa.

Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne.

Ama walimchezesha mdogo wake.
 
Back
Top Bottom