Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Aug 15, 2024 #1 Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake.
Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake.
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 Aug 15, 2024 #2 Hata yule wa simba alikula goli 3 refa kakataa magoli 2, kama sio refa na wasaidizi wake yule kipa angekula zaidi ya goli 4
Hata yule wa simba alikula goli 3 refa kakataa magoli 2, kama sio refa na wasaidizi wake yule kipa angekula zaidi ya goli 4
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 15, 2024 #3 Pdidy said: Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake. Click to expand... Pacha.
Pdidy said: Badop najiuliza sana holiswali wapendwa. Yule kipa aliekuwa akidaka mishale ya yanga Zanzibar ndio huyuhuyu kapigwa nne. Ama walimchezesha mdogo wake. Click to expand... Pacha.
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Aug 15, 2024 #4 Wasifie Yanga bro Shida sio kipa angalia hata magoli aliyofungwa