Kama unamaanisha Makotopola tayari kilishakamilika. SGR haindi hadi Singida mjini bali inapita Makotopola na Manyoni. Kituo kikubwa cha Singida nafikiri ni hicho cha Makotopola.Nimebaki najiuliza ni kama watanzania tumepumbazwa au tumeridhika na kukamilika kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma
Mimi ningependa kujua hivi kipande cha sgr kutoka dodoma mpaka singida ujenzi wake umefikia asilimia ngapi?,lini kina kamilika?
Na kwanini unakuta muda mwingi kipande cha Isaka mpaka Mwanza kinazungumziwa kuwa kinakaribia kukamilika wakati hichi kiunganishi cha muhimu hakizungumziwi
2030Nimebaki najiuliza ni kama watanzania tumepumbazwa au tumeridhika na kukamilika kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma
Mimi ningependa kujua hivi kipande cha sgr kutoka dodoma mpaka singida ujenzi wake umefikia asilimia ngapi?,lini kina kamilika?
Na kwanini unakuta muda mwingi kipande cha Isaka mpaka Mwanza kinazungumziwa kuwa kinakaribia kukamilika wakati hichi kiunganishi cha muhimu hakizungumziwi
JPM Akifufuka,ila Kwa Hali ilivyo, imekula kwetuNimebaki najiuliza ni kama watanzania tumepumbazwa au tumeridhika na kukamilika kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma
Mimi ningependa kujua hivi kipande cha sgr kutoka dodoma mpaka singida ujenzi wake umefikia asilimia ngapi?,lini kina kamilika?
Na kwanini unakuta muda mwingi kipande cha Isaka mpaka Mwanza kinazungumziwa kuwa kinakaribia kukamilika wakati hichi kiunganishi cha muhimu hakizungumziwi
kipande cha isaka mwanza kipo 66% kipande cha dodoma tabora kipo 57% na tayari kipo mkoa wa singida ila hakipiti singida mjiniNimebaki najiuliza ni kama watanzania tumepumbazwa au tumeridhika na kukamilika kwa kipande cha kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma
Mimi ningependa kujua hivi kipande cha sgr kutoka dodoma mpaka singida ujenzi wake umefikia asilimia ngapi?,lini kina kamilika?
Na kwanini unakuta muda mwingi kipande cha Isaka mpaka Mwanza kinazungumziwa kuwa kinakaribia kukamilika wakati hichi kiunganishi cha muhimu hakizungumziwi
imekula kwetu vipi bro kama huna taatifa bora kunyamaza,mimi nimetembea hivyo vipande vyote na wala sio mfanyakazi wa serikali kazi inaendelea kwa spidi kubwa sanaJPM Akifufuka,ila Kwa Hali ilivyo, imekula kwetu
Hakuna kipande cha Dodoma - Tabora bali ni Makotopola - Isakakipande cha isaka mwanza kipo 66% kipande cha dodoma tabora kipo 57% na tayari kipo mkoa wa singida ila hakipiti singida mjini
Dodoma tabora 57? Naomba picha angalau nisuuze moyokipande cha isaka mwanza kipo 66% kipande cha dodoma tabora kipo 57% na tayari kipo mkoa wa singida ila hakipiti singida mjini
Gentleman ,Waulizwe Tlaatlaah
ni kweli na hiyo makutupola ni ya singida na tayari reli ishafika makutupolaHakuna kipande cha Dodoma - Tabora bali ni Makotopola - Isaka
Hakuna kipande cha Makutupora-Isaka pia.Hakuna kipande cha Dodoma - Tabora bali ni Makotopola - Isaka
Meneja mradi kipande cha Mwanza-Isaka (341Km) Mhandisi Christopher Kalisti amenukuliwa leo Jumamosi na vyombo vya habari ujenzi upo 63% na utakamilika 2026!kipande cha isaka mwanza kipo 66%
Wew unashangaaga tuu.Inashangaza sana