OkayNaona nchi za kimaskin ndio left side
wamarekani nuksi kweli ili kuonyesha utofauti na muingereza ati taa sisi twawashia chini wao wanapandisha switch juu maaamaeSisi tuliiga kwa Muingereza.
Amerika walitaka kutofautiana na muingereza kwenye vitu vingi tu hata kwenye umeme nk.
Japan waliajiri waingereza kuwajengea reli. Treni zikawa zinapita kushoto.
Walivyoanza kutengeneza magari, wakafuata mfumo wa reli.