Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?
a) tabasamu lake b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?d) mapochopocho yake kwako?
Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?
Kuweza shida majaribu yanayowapata...
Utathibitisha vipi mwenzako ni mwaminifu?Uaminifu na kumjali mwenzi wako.
Hapo sasa!..Utathibitisha vipi mwenzako ni mwaminifu?
Fafanua kidogo, kama yapi? Na kama lengo langu ni halijatimia (say kukuua nirithi mali) don't u think nitakuwa by ur side as a loving, caring n faithfull wife all the time? Hiyo ni kwa mdada.
Kwa mkaka,
Tuna watoto, n u r a good mom n l am in love with this chick but she will never be a good mother to my children, huoni Kama nitastick na wewe for the sake of my children, while having fun with that sexy chick?
Mapenzi ni hisia zaidi ambazo zinaji-express kwenye matendo kadhaa wa kadhaa. haya uliyoyaorodhesha ni kati ya matendo hayoUnapimaje kuwa mwenzio anakupenda?
a) tabasamu lake
b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?
d) mapochopocho yake kwako?
Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?
Haya mambo mwisho wa siku ni imani tu, maana mtu anaweza kujifanya 'kukupenda kwa dhati' kumbe patupu. Sipendi kufikiria huko ila ndo ukweli...Hapo sasa!..
Dah! Kaunga.... I meant kuvumilia obstacles ambazo mwapata (na za weza changia kuvunja penzi lenu); kama vile wakati wa ugonjwa, wakati wa kipato kidogo that life sometimes is always impossible na the like....
Hio mifano.... That is not loving... that is more sticking around because of need...
ADii; sasa utajuaje mwenzio anastick with u thru thick n thin kuwa because s/he loves you?
Mimi naona sio rahisi au kupima penzi la mwenzio kwako but ni rahisi kupima penzi lako kwake!
Kweli kabisa tukubali tukatae ni kuwa mapenzi hayana kipimo...kuna watu ni mabingwa wa kuigiza kwenye hii dunia mpaka raha...sasa ole wako uchukulie uigizaji kama kipimo cha mapenzi siku ukigundua utalia na kusaga meno...Haya mambo mwisho wa siku ni imani tu, maana mtu anaweza kujifanya 'kukupenda kwa dhati' kumbe patupu. Sipendi kufikiria huko ila ndo ukweli...