Unapimaje kuwa mwenzio anakupenda?
a) tabasamu lake
b) kicheko chake?
c)kauli zake motomoto?
d) mapochopocho yake kwako?
Hivi unapimaje penzi na kujua huyu mtu kweli anakupenda na wala siyo anavutwa na mafanikio yako pekee yake................na wewe kugeuzwa kuwa chambo?
Hakuna general kipimo kwani kuna wengine akidundwa ndio anahisi anapendwa, mwingine akipewa jala frequentl, wengine outing n like.. so its quet complicated yaan u can't b 100% sure kwamba sm1 is truly in lv jas bz he/she has done ths o tht...
Ukitaka Kujua hili Mkuu, Kwanza tafuta The definition Of Love. Hiyo nayo inachukua not less than 1000 pages (ikiwa brief) kisha rudi hapa tutakupa uzi zaidi. Dr. Love yumo humu usiwe na wasiwasi
Upendo wa kweli ni huu hapa..........
"Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hautafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote" ( 1 Cor 13:4-7).
Mbarikiwe
​ni matendo ya mtu tu
Ni ngumu kupima penzi.
Cha kuzungatia umapokuwa kwenye mahusiano ujue upo kwa sababu gani na timiza wajibu wako.
Upendo wa kweli ni huu hapa..........
"Upendo huvumilia, upendo hufadhili; upendo hauna wivu au majivuno. Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hautafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli. Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahim ili yote" ( 1 Cor 13:4-7).
Mbarikiwe
Kuweza shida majaribu yanayowapata...
A-D, zote can be fake!
Kwa vigezo hivyo it is next to impossible to know! What u can be sure of, ni wether wampenda or not; just like yeye anaweza asiwe sure kuwa wampenda au wamtamani, what if wrinkles zikianza will u still love her, au akipata ajali etc. Either way it is not healthy, love her unconditionally and that LOVE will do miracle
Dah! Kaunga.... I meant kuvumilia obstacles ambazo mwapata (na za weza changia kuvunja penzi lenu); kama vile wakati wa ugonjwa, wakati wa kipato kidogo that life sometimes is always impossible na the like....
Hio mifano.... That is not loving... that is more sticking around because of need...
hii siyo kweli, kipimo kipo vinginevyo tusingeliweza kuzisoma hisia za wenzi wetu kama kweli they are really loving us..........no measurement
Mimi ni ukarimu wake na anavonithamini
mfano kunipigia simu ? Ni kila siku,wk au mwezi?
Anavonithamini mimi ni no ngapi katika mambo yake ninakuja baada ya yote au nipo mwanzo mwanzo
ukarimu wake kwangu
:A S 465:Lovenogrameter kipo U.S.A.