Hivi kipimo cha Typhoid kinaweza chukuliwa kwa dk 15?

Hivi kipimo cha Typhoid kinaweza chukuliwa kwa dk 15?

mzee wa misele

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
366
Reaction score
46
wakuu kuna dispensary moja ya private nimeenda nimeambiwa nina typhoid nauza hivi hiki kipimo kinaweza kuchukuliwa kwa dk 15
 
Hiyo ni test tu kuangalia kama typhoid ipo. Wanaangalia reactions na si idadi au kiwango cha typhoid kilichopo
 
Back
Top Bottom