Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jul 14, 2013 #1 Naomba tu kueleweshwa wakuu.
chuchunge JF-Expert Member Joined Aug 17, 2007 Posts 218 Reaction score 167 Jul 14, 2013 #2 Na mtangazaji wa sasa anabore kama nini,she is so fake na haientertain kabisa!
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Jul 14, 2013 #3 Ni kipindi cha nini na kinahusu nini na ni kwenye Redio au TV au Magazeti?
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 Jul 14, 2013 #4 kinafundisha kuoana
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,603 Reaction score 13,654 Jul 14, 2013 #5 si kila program ni ya kufundisha mkuu. hii nadhan ni maalum kwa waliokatika harakati za kufunga ndoa na hapo wanapata kufahamu style mpya na masuala yanayofanyika katika harusi.
si kila program ni ya kufundisha mkuu. hii nadhan ni maalum kwa waliokatika harakati za kufunga ndoa na hapo wanapata kufahamu style mpya na masuala yanayofanyika katika harusi.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jul 15, 2013 #6 chuchunge said: Na mtangazaji wa sasa anabore kama nini,she is so fake na haientertain kabisa! Click to expand... sijui wamemtoa wapi yule mtangazaji!!!!!! nilishaacha kukiangalia,hata nikikutana nacho kwenye pita pita yangu nahamia mtaa wa pili fasta!!!!!!!
chuchunge said: Na mtangazaji wa sasa anabore kama nini,she is so fake na haientertain kabisa! Click to expand... sijui wamemtoa wapi yule mtangazaji!!!!!! nilishaacha kukiangalia,hata nikikutana nacho kwenye pita pita yangu nahamia mtaa wa pili fasta!!!!!!!
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,687 Jul 15, 2013 #7 TANMO said: Ni kipindi cha nini na kinahusu nini na ni kwenye Redio au TV au Magazeti? Click to expand... kiko TBC 1,
TANMO said: Ni kipindi cha nini na kinahusu nini na ni kwenye Redio au TV au Magazeti? Click to expand... kiko TBC 1,
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,262 Reaction score 2,184 Jul 15, 2013 #8 Perry said: Naomba tu kueleweshwa wakuu. Click to expand... kwani taarifa ya habari ina mafunzo gani kwa jamii
Perry said: Naomba tu kueleweshwa wakuu. Click to expand... kwani taarifa ya habari ina mafunzo gani kwa jamii