kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Nipo maaeneo fulani hapa nimejipumzisha kama kawaida baada ya mishe mishe. Jirani yangu kuna kijana kakaa na mambo yake. Akatokea kijana mwingine ambaye anafahamiana na kijana ambaye yupo jirani yangu. Mara akaanza kumwambia huyu kijana. Nipe mzigo wangu, unachapwa nini, wewe unapigwa.
Ghafla ugomvi ukaanza, nina chapwa mimi, nina chapwa mimi.
Mimi nikawaamulia ugomvi, sasa sijaona tatizo ya hiyo misemo. Kwa sababu sijasikia tusi hata moja. Au siku hizi kiswahili kina maana mbili mbili