Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Kosha mikono? Sijui!!Kosha
Nahisi hivyo, kwanini watu wameamua kupotosha matumizi ya lugha?
Ndiyo hivyo neno limebatilishwa, BAKITA wapo wapi?Nawa mikono
Fullstop!
Kwa hiyo neno sahihi kwa zoezi hili la kukabili corona ni lipi?Mikono unanawa lkn mikono hiyo hutumika kuosha viongo vingine vya mwili na vitu vingine isipokuwa nguo tunafua na sio tunaosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila neno sahihi ni lipi?Sasa hivi ni mda wa kutumia neno lolote maana hali ni tete🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums