Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Huu si ni uchaguzi wa serikali za mitaa! Ina maana hatutajiandikisha kielektroniki kwenye mfumo wa kuwachagua viongozi wa nchi, majimbo na tarafa?Ukaombea cheti cha kuzaliwa kama huna.
Ila kwenye huu uandikishaji unaofanyika sasahivi hakuna cheti chochote kinachotolewa wanakuandikisha tu kwenye daftari lako halafu unaondoka hawakupi chochote na wewe hutoi chochote zaidi ya kutaja majina yako 3 miaka na kisha kusaini
Siwezi kujutia kutokupiga kura hata siku moja. Nahitaji kujua labda ninaweza kupata sponsorship etc ili niweke mind sawa kukitafuta kwa hali na mali itakapobidiKitupe ili siku ukikihitaji ukijutie.
Ndiyo maana nimekueleza:Kitupe au kiharibu ili siku ukikihitaji kwa shughuli yoyote ujilaumu.Siwezi kujutia kutokupiga kura hata siku moja. Nahitaji kujua labda ninaweza kupata sponsorship etc ili niweke mind sawa kukitafuta kwa hali na mali itakapobidi
Mkuu mbona hii nchi haina mfumo wa kuchagua viongozi wa majimbo na tarafa?Huu si ni uchaguzi wa serikali za mitaa! Ina maana hatutajiandikisha kielektroniki kwenye mfumo wa kuwachagua viongozi wa nchi, majimbo na tarafa?